Ufunuo 9:2
Alipolifungua hilo Shimo, moshi ukapanda kutoka humo kama moshi wa tanuru kubwa sana. Jua na anga vikatiwa giza na ule moshi uliotoka katika hilo Shimo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 15:17Wakati jua lilipokuwa limezama na giza limeingia, tanuru la moshi na mwali wa moto unaowaka vikatokea na kupita kati ya vile vipande vya nyama.
Exodus 10:21Kisha Bwana akamwambia Mose, “Nyoosha mkono wako kuelekea angani ili giza litande katika nchi ya Misri, giza ambalo watu wanaweza kulipapasa na kulihisi.”
Isaiah 14:31Piga yowe, ee lango! Bweka, ee mji! 2 Yeyukeni, enyi Wafilisti wote! 1 Wingu la moshi linakuja toka kaskazini, 2 wala hakuna atakayechelewa katika safu zake. 1
Joel 2:10Mbele yao dunia inatikisika, 2 anga linatetemeka, 1 jua na mwezi vinatiwa giza, 2 na nyota hazitoi mwanga wake tena. 1
Acts 2:19Nami nitaonyesha maajabu juu mbinguni, 2 na ishara chini duniani: 2 damu, moto, na mawimbi ya moshi. 1
Revelation 9:17Hivi ndivyo nilivyowaona hao farasi na wapanda farasi katika maono yangu: Wapanda farasi walivaa dirii vifuani zenye rangi nyekundu sana kama ya moto na yakuti samawi na kiberiti. Vichwa vya hao farasi vilikuwa kama vichwa vya simba, na moto, moshi na kiberiti vilitoka vinywani mwao.