The Bible Software
bible.softwareRomansRomans 1 › Romans 1:21

Romans 1:21

Kwa maana ingawa walimjua Mungu, hawakumtukuza yeye kama ndiye Mungu wala hawakumshukuru, bali fikira zao zimekuwa batili na mioyo yao ya ujinga ikatiwa giza.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Because that, when they knew God, they glorified him not as God, neither were thankful; but became vain in their imaginations, and their foolish heart was darkened.

In Context

20Kwa maana tangu kuumbwa kwa ulimwengu, asili ya Mungu asiyeonekana kwa macho, yaani, uweza wake wa milele na asili yake ya Uungu, imeonekana waziwazi, ikitambuliwa kutokana na yale aliyoyafanya ili wanadamu wasiwe na udhuru.

22Ingawa walijidai kuwa wenye hekima, wakawa wajinga

Read all of Romans 1

Cross References

Genesis 6:5Bwana akaona jinsi uovu wa mwanadamu ulivyokuwa mkubwa duniani, na ya kuwa kila mwelekeo wa mawazo ya moyo wake wakati wote ulikuwa mbaya tu.

Deuteronomy 28:29Wakati wa adhuhuri utapapasapapasa huku na huko kama mtu kipofu katika giza. Hutafanikiwa katika lolote ufanyalo; siku baada ya siku utaonewa na kunyangʼanywa, wala hakuna yeyote atakayekuokoa.

Psalms 50:23Atoaye dhabihu za shukrani ananiheshimu mimi, 2 naye aiandaa njia yake 2 ili nimwonyeshe wokovu wa Mungu.”

Psalms 86:9Ee Bwana, mataifa yote uliyoyafanya 2 yatakuja na kuabudu mbele zako; 2 wataliletea utukufu jina lako. 1

Isaiah 44:9Wote wachongao sanamu ni ubatili, 2 navyo vitu wanavyovithamini havifai kitu. 1 Wale ambao wanazitetea ni vipofu, 2 ni wajinga, nao waaibika. 1

Jeremiah 2:5Hivi ndivyo asemavyo Bwana: 1 “Je, baba zenu waliona kosa gani kwangu, 2 hata wakatangatanga mbali nami hivyo? 1 Walifuata sanamu zisizofaa, 2 nao wenyewe wakawa hawafai. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Romans 1:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Romans 1:20Romans 1Romans 1:22 →