Romans 1:25
Kwa sababu waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo, wakaabudu na kutumikia kiumbe badala ya Muumba, ahimidiwaye milele! Amen.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 145:1Nitakutukuza wewe, Mungu wangu Mfalme, 2 nitalisifu jina lako milele na milele. 1
Jeremiah 10:14Kila mmoja ni mjinga na hana maarifa, 2 kila sonara ameaibishwa na sanamu zake. 1 Vinyago vyake ni vya udanganyifu, 2 havina pumzi ndani yavyo. 1
Jeremiah 16:19Ee Bwana, nguvu zangu na ngome yangu, 2 kimbilio langu wakati wa taabu, 1 kwako mataifa yatakujia 2 kutoka miisho ya dunia na kusema, 1 “Baba zetu hawakuwa na chochote zaidi ya miungu ya uongo, 2 sanamu zisizofaa kitu 2 ambazo hazikuwafaidia lolote. 1
Habakkuk 2:18“Sanamu ina thamani gani, 2 kwani mwanadamu ndiye alichonga? 1 Ama kinyago kinachofundisha uongo? 2 Kwa kuwa yeye aliyekitengeneza 1 hutegemea kazi ya mikono yake mwenyewe; 2 hutengeneza sanamu zisizoweza kuzungumza. 1
Matthew 10:37“Yeyote ampendaye baba yake au mama yake kuliko anavyonipenda mimi, hastahili kuwa wangu. Yeyote ampendaye mwanawe au binti yake kuliko anavyonipenda mimi, hastahili kuwa wangu.
Romans 1:18Ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni dhidi ya uasi wote na uovu wa wanadamu ambao huipinga kweli kwa uovu wao,