The Bible Software
bible.softwareWarumiWarumi 1 › Warumi 1:28

Warumi 1:28

Nao kwa kuwa hawakuona umuhimu wa kudumisha ufahamu wa Mungu, yeye akawaachilia wafuate akili za upotovu, watende mambo yale yasiyostahili kutendwa.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And even as they did not like to retain God in their knowledge, God gave them over to a reprobate mind, to do those things which are not convenient;

In Context

27Vivyo hivyo wanaume pia wakiacha matumizi ya asili ya wanawake wakawakiana tamaa wao kwa wao. Wanaume wakafanyiana matendo ya aibu na wanaume wengine nao wakapata katika maisha yao adhabu iliyowastahili kwa ajili ya upotovu wao.

29Wakiwa wamejawa na udhalimu wa kila namna, uasherati, uovu, tamaa mbaya na hila. Wamejawa na husuda, uuaji, ugomvi, udanganyifu, hadaa na nia mbaya. Wao pia ni wasengenyaji,

Read all of Warumi 1

Cross References

Proverbs 1:7Kumcha Bwana ndicho chanzo cha maarifa, 2 lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu. 1 Onyo Dhidi Ya Ushawishi Wa Marafiki Waovu 1

Proverbs 1:29Kwa kuwa walichukia maarifa, 2 wala hawakuchagua kumcha Bwana, 1

Proverbs 17:16Fedha ina faida gani mikononi mwa mpumbavu, 2 wakati yeye hana haja ya kupata hekima? 1

Jeremiah 6:30Wanaitwa fedha iliyokataliwa, 2 kwa sababu Bwana amewakataa.”

Ezekiel 14:5Nitafanya jambo hili ili kukamata tena mioyo ya watu wa Israeli, ambao wote wameniacha kwa ajili ya sanamu zao.’

Acts 17:23Kwa kuwa nilipokuwa nikitembea mjini na kuangalia kwa bidii vitu vyenu vya kuabudiwa, niliona huko madhabahu moja iliyoandikwa: Kwa Mungu Asiyejulikana. Basi sasa kile ambacho mmekuwa mkikiabudu kama kisichojulikana, ndicho ninachowahubiria.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Warumi 1:28

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Warumi 1:27Warumi 1Warumi 1:29 →