Romans 1:30
wasingiziaji, wanaomchukia Mungu, wajeuri, wenye kiburi na majivuno, wenye hila, wasiotii wazazi wao,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
31wajinga, wasioamini, wasio na huruma na wakatili.
Cross References
Deuteronomy 7:10Lakini 1 kwa wale wanaomchukia 2 atawalipiza kwenye nyuso zao 2 kwa maangamizi; 1 hatachelewa kuwalipiza kwenye nyuso zao 2 wale wamchukiao.
Deuteronomy 27:16“Alaaniwe mtu amdharauye baba yake na mama yake.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
2 Chronicles 19:2Yehu mwonaji, mwana wa Hanani, akapanda kwenda kuonana naye akamwambia Mfalme Yehoshafati, “Je, utawasaidia waovu na kuwapenda wale wanaomchukia Bwana? Kwa sababu ya jambo hili, ghadhabu ya Bwana iko juu yako.
Psalms 10:3Hujivunia tamaa za moyo wake; 2 humbariki mlafi na kumtukana Bwana. 1
Psalms 52:1Ewe jitu, mbona unajivunia ubaya? 2 Kwa nini unajivuna mchana kutwa, 2 wewe ambaye ni fedheha mbele za Mungu? 1
Psalms 94:4Wanamimina maneno ya kiburi, 2 watenda mabaya wote wamejaa majivuno. 1