bible.software › Romans › Romans 10 › Romans 10:13
Romans 10:13
Kwa maana, “Kila mtu atakayeliitia Jina la Bwana, ataokolewa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For whosoever shall call upon the name of the Lord shall be saved.
In Context
12Kwa maana hakuna tofauti kati ya Myahudi na Myunani, yeye ni Bwana wa wote, mwenye utajiri kwa wote wamwitao.
14Lakini watamwitaje yeye ambaye hawajamwamini? Nao watawezaje kumwamini yeye ambaye hawajamsikia? Tena watamsikiaje bila mtu kuwahubiria?
Read all of Romans 10
Cross References
Acts 2:21Na kila mtu atakayeliitia 2 jina la Bwana, ataokolewa.’
This Verse In Other Editions
Study Romans 10:13