Warumi 11:26
Hivyo Israeli wote wataokolewa. Kama ilivyoandikwa: 1 “Mkombozi atakuja kutoka Sayuni; 2 ataondoa kutokumcha Mungu katika Yakobo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
27Hili ndilo agano langu nao 2 nitakapoziondoa dhambi zao.”
Cross References
Psalms 14:7Laiti wokovu wa Israeli 2 ungalikuja kutoka Sayuni! 1 Wakati Bwana arejeshapo 2 wafungwa wa watu wake, 1 Yakobo na ashangilie, 2 Israeli na afurahi!
Isaiah 11:11Katika siku hiyo Bwana atanyoosha mkono wake mara ya pili kurudisha mabaki ya watu wake waliosalia kutoka Ashuru, Misri, Pathrosi, + 11:11 Pathrosi ina maana Misri ya Juu. Kushi, Elamu, Babeli, Hamathi na kutoka visiwa vya baharini. 1
Isaiah 54:6Bwana atakuita urudi 2 kana kwamba ulikuwa mke aliyeachwa na kuhuzunishwa rohoni; 1 kama mke aliyeolewa bado angali kijana 2 na kukataliwa,” asema Mungu wako. 1
Jeremiah 3:17Wakati huo, wataita Yerusalemu kuwa Kiti cha Enzi cha Bwana, nayo mataifa yote watakusanyika Yerusalemu kuliheshimu jina la Bwana. Hawatafuata tena ukaidi wa mioyo yao miovu.
Jeremiah 31:31“Siku zinakuja,” asema Bwana, 2 “nitakapofanya agano jipya 1 na nyumba ya Israeli 2 na nyumba ya Yuda. 1
Jeremiah 33:24“Je, hujasikia kwamba watu hawa wanasema, ‘ Bwana amezikataa zile falme mbili alizozichagua?’ Kwa hiyo wamewadharau watu wangu, na hawawaoni tena kama taifa.