Romans 11:4
Je, Mungu alimjibuje? “Nimejibakizia watu elfu saba ambao hawajapiga magoti kumwabudu Baali.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Vivyo hivyo pia, sasa wapo mabaki waliochaguliwa kwa neema ya Mungu.
Cross References
Deuteronomy 4:3Mliona kwa macho yenu wenyewe kile Bwana alichokifanya kule Baal-Peori. Bwana Mungu wenu aliwaangamiza kutoka miongoni mwenu kila mmoja aliyemfuata Baali wa Peori,
1 Kings 16:31Kama vile haikutosha kuishi kama Yeroboamu mwana wa Nebati, akamwoa Yezebeli binti wa Ethbaali, mfalme wa Wasidoni, naye akaanza kumtumikia Baali na kumwabudu.
2 Kings 10:19Sasa waiteni manabii wote wa Baali, watumishi wake wote na makuhani wake wote. Hakikisheni kwamba hakuna hata mmoja atakayekosekana, kwa sababu ninakwenda kutoa kafara kubwa sana kwa Baali. Yeyote atakayeshindwa kuja hataendelea kuishi.” Lakini Yehu alifanya hivyo kwa hila ili apate kuwaangamiza watumishi wote wa Baali.
Hosea 2:8Gomeri hajakubali kuwa mimi ndiye 2 niliyempa nafaka, divai mpya na mafuta, 1 niliyemwongezea fedha na dhahabu waliyoitumia 2 kwa kumtumikia Baali. 1
Zephaniah 1:4“Nitaiadhibu Yuda 2 na wote wakaao Yerusalemu. 1 Kutoka mahali hapa nitakatilia mbali 2 kila mabaki ya Baali, 1 majina ya wapagani na makuhani 2 waabuduo sanamu: 1