The Bible Software
bible.softwareRomansRomans 12 › Romans 12:8

Romans 12:8

kama ni kutia moyo na atie moyo, kama ni kuchangia kwa ajili ya mahitaji ya wengine na atoe kwa ukarimu, kama ni uongozi na aongoze kwa bidii, kama ni kuhurumia wengine na afanye hivyo kwa furaha. 1 Alama Za Mkristo Wa Kweli

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Or he that exhorteth, on exhortation: he that giveth, let him do it with simplicity; he that ruleth, with diligence; he that sheweth mercy, with cheerfulness.

In Context

7Kama ni kuhudumu na tuhudumu, mwenye kufundisha na afundishe,

9Upendo lazima usiwe na unafiki. Chukieni lililo ovu, shikamaneni na lililo jema.

Read all of Romans 12

Cross References

Deuteronomy 15:8Afadhali fungua mikono yako na umkopeshe kwa hiari chochote anachohitaji.

Deuteronomy 16:11Shangilieni mbele za Bwana Mungu wenu mahali atakapopachagua kama makao ya Jina lake, ninyi, wana wenu na binti zenu, watumishi wenu wa kiume na wa kike, Walawi walio katika miji yenu, na wageni, yatima na wajane waishio miongoni mwenu.

Job 31:16“Ikiwa nimewanyima maskini haja zao, 2 au kuyaacha macho ya wajane yadhoofike, 1

Psalms 101:1Nitaimba juu ya upendo wako na haki yako; 2 kwako wewe, Ee Bwana, nitaimba sifa. 1

Proverbs 22:9Mtu mkarimu yeye mwenyewe atabarikiwa 2 kwa kuwa hushiriki chakula chake na maskini. 1

Ecclesiastes 11:1Tupa mkate wako juu ya maji, 2 kwa maana baada ya siku nyingi 2 utaupata tena. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Romans 12:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Romans 12:7Romans 12Romans 12:9 →