bible.software › Warumi › Warumi 15 › Warumi 15:20
Warumi 15:20
Hivyo ni nia yangu kuhubiri Habari Njema, si pale ambapo Kristo amekwisha kujulikana, ili nisije nikajenga juu ya msingi wa mtu mwingine.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Yea, so have I strived to preach the gospel, not where Christ was named, lest I should build upon another man’s foundation:
In Context
19kwa nguvu za ishara na miujiza, kwa uweza wa Roho wa Mungu, hivyo kuanzia Yerusalemu hadi maeneo yote ya kandokando yake mpaka Iliriko, nimekwisha kuihubiri Injili ya Kristo kwa ukamilifu.
21Lakini kama ilivyoandikwa: 1 “Wale ambao hawajahubiriwa habari zake wataona, 1 nao wale ambao hawajazisikia watafahamu.”
Read all of Warumi 15
Cross References
1 Corinthians 3:9Kwa kuwa sisi tu watendakazi pamoja na Mungu. Ninyi ni shamba la Mungu, jengo la Mungu.
Ephesians 2:20Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Kristo Yesu mwenyewe ndiye jiwe kuu la pembeni.
This Verse In Other Editions
Study Warumi 15:20