Warumi 16:10
Msalimuni Apele aliyejaribiwa na akaithibitisha imani yake katika Kristo. 1 Wasalimuni wote walio nyumbani mwa Aristobulo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Salute Apelles approved in Christ. Salute them which are of Aristobulus’ household.
In Context
9Msalimuni Urbano, mtendakazi mwenzetu katika Kristo, pamoja na rafiki yangu mpendwa Stakisi. 1
11Msalimuni ndugu yangu Herodioni. 1 Wasalimuni wote walio nyumbani mwa Narkisi walio katika Bwana. 1
Cross References
Deuteronomy 8:2Kumbuka jinsi Bwana Mungu wenu alivyowaongoza katika njia yote katika jangwa kwa miaka hii arobaini, kukunyenyekeza na kukujaribu ili ajue lililoko moyoni mwako, kwamba utayashika maagizo yake au la.
1 Corinthians 11:19Bila shaka lazima pawe na tofauti miongoni mwenu ili kuonyesha ni nani anayekubaliwa na Mungu.
2 Corinthians 8:22Pamoja nao, tunamtuma ndugu yetu ambaye mara kwa mara ametuthibitishia kwa njia nyingi kwamba ana shauku, naam, zaidi sana sasa kwa sababu analo tumaini kuu kwenu.
1 Timothy 3:10Ni lazima wapimwe kwanza; kisha kama hakuna neno dhidi yao, basi na waruhusiwe kuhudumu kama mashemasi.
1 Peter 1:7Haya yamewajia ili kwamba imani yenu, iliyo ya thamani kuliko dhahabu ipoteayo, ingawa hujaribiwa kwa moto, ionekane kuwa halisi na imalizie katika sifa, utukufu na heshima wakati Yesu Kristo atadhihirishwa.