The Bible Software
bible.softwareWarumiWarumi 16 › Warumi 16:15

Warumi 16:15

Wasalimuni Filologo, Yulia, Nerea na dada yake, na Olimpa na watakatifu wote walio pamoja nao. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Salute Philologus, and Julia, Nereus, and his sister, and Olympas, and all the saints which are with them.

In Context

14Wasalimuni Asinkrito, Flegoni, Herme, Patroba, Herma na ndugu wote walio pamoja nao. 1

16Salimianeni ninyi kwa ninyi kwa busu takatifu. 1 Makanisa yote ya Kristo yanawasalimu. 1 Maelekezo Ya Mwisho

Read all of Warumi 16

Cross References

Isaiah 60:21Ndipo watu wako wote watakuwa waadilifu, 2 nao wataimiliki nchi milele. 1 Wao ni chipukizi nililolipanda, 2 kazi ya mikono yangu, 2 ili kuonyesha utukufu wangu. 1

Romans 16:2Naomba mpokeeni katika Bwana ipasavyo watakatifu na kumpa msaada wowote atakaohitaji kutoka kwenu, kwa maana yeye amekuwa msaada kwa watu wengi, mimi nikiwa miongoni mwao. 1

Ephesians 1:1Paulo, mtume wa Kristo Yesu, kwa mapenzi ya Mungu: Kwa watakatifu walioko Efeso, walio waaminifu katika Kristo Yesu:

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Warumi 16:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Warumi 16:14Warumi 16Warumi 16:16 →