bible.software › Warumi › Warumi 16 › Warumi 16:24
Warumi 16:24
Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja nanyi nyote. Amen.] 1 Maneno Ya Mwisho Ya Kumsifu Mungu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The grace of our Lord Jesus Christ be with you all. Amen.
In Context
23Gayo, ambaye ni mwenyeji wangu na wa kanisa lote, anawasalimu. Erasto, mweka hazina wa mji huu, pamoja na Kwarto ndugu yetu pia wanawasalimu. [
25Sasa atukuzwe yeye awezaye kuwafanya ninyi imara kwa Injili yangu na kuhubiriwa kwa Yesu Kristo, kutokana na kufunuliwa siri zilizofichika tangu zamani za kale.
Read all of Warumi 16
Cross References
Romans 16:20Mungu wa amani atamponda Shetani chini ya miguu yenu upesi. Neema ya Bwana wetu Yesu iwe nanyi. Amen.
This Verse In Other Editions
Study Warumi 16:24