The Bible Software
bible.softwareRomansRomans 16 › Romans 16:4

Romans 16:4

Wao walihatarisha maisha yao kwa ajili yangu; wala si mimi tu ninayewashukuru bali pia makanisa yote ya watu wa Mataifa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Who have for my life laid down their own necks: unto whom not only I give thanks, but also all the churches of the Gentiles.

In Context

3Wasalimuni Prisila + 16:3 Prisila kwa Kiyunani ni Priska, hivyo tafsiri nyingine zimemuita Priska. na Akila, watumishi wenzangu katika Kristo Yesu.

5Lisalimuni pia kanisa linalokutana nyumbani mwao. 1 Msalimuni rafiki yangu mpendwa Epaineto, aliyekuwa mtu wa kwanza kumwamini Kristo huko Asia. 1

Read all of Romans 16

Cross References

Joshua 10:24Walipokuwa wamewaleta hawa wafalme kwa Yoshua, akawaita watu wote wa Israeli, na kuwaambia majemadari wa vita waliokwenda pamoja naye, “Njooni hapa mweke nyayo zenu juu ya shingo za hawa wafalme.” Basi wakaja wakaweka nyayo zao shingoni.

Micah 2:3Kwa hiyo, Bwana asema: 1 “Ninapanga maangamizi dhidi ya watu hawa, 2 ambayo hamwezi kujiokoa wenyewe. 1 Hamtatembea tena kwa majivuno, 2 kwa kuwa utakuwa ni wakati wa maafa. 1

Acts 15:41Akapitia Shamu na Kilikia, akiimarisha makanisa ya huko.

Romans 5:7Hakika, ni vigumu mtu yeyote kufa kwa ajili ya mwenye haki, ingawa inawezekana mtu akathubutu kufa kwa ajili ya mtu mwema.

1 Corinthians 16:1Basi kuhusu changizo kwa ajili ya watakatifu: Kama nilivyoyaagiza makanisa ya Galatia, fanyeni vivyo hivyo.

1 Thessalonians 2:14Kwa maana ninyi ndugu zetu, mlifanyika wafuasi wa makanisa ya Mungu yaliyoko ndani ya Kristo Yesu katika Uyahudi. Mlipata mateso yale yale kutoka kwa watu wenu wenyewe kama vile makanisa hayo yalivyoteswa na Wayahudi,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Romans 16:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Romans 16:3Romans 16Romans 16:5 →