Romans 2:10
bali utukufu, heshima na amani kwa ajili ya kila mmoja atendaye mema, kwa Myahudi kwanza, kisha kwa mtu wa Mataifa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Kutakuwa na taabu na dhiki kwa kila mmoja atendaye maovu, Myahudi kwanza na mtu wa Mataifa pia,
11Kwa maana Mungu hana upendeleo.
Cross References
1 Samuel 2:30“Kwa hiyo, Bwana, Mungu wa Israeli asema: ‘Niliahidi kuwa nyumba yako na nyumba ya baba yako wangehudumu mbele zangu milele.’ Lakini sasa Bwana anasema: ‘Jambo hili na liwe mbali nami! Wale wanaoniheshimu nitawaheshimu, wale wanaonidharau mimi watadharauliwa.
Psalms 15:2Ni yule aendaye pasipo mawaa, 2 atendaye yaliyo haki, 1 asemaye kweli toka moyoni mwake, 2
Psalms 37:37Watafakari watu wasio na hatia, 2 wachunguze watu wakamilifu, 2 kuna mafanikio kwa mtu apendaye amani. 1
Proverbs 3:16Maisha marefu yako katika mkono wake wa kuume; 2 katika mkono wake wa kushoto 2 kuna utajiri na heshima. 1
Proverbs 8:18Utajiri na heshima viko kwangu, 2 utajiri udumuo na mafanikio. 1
Isaiah 26:12Bwana, unaamuru amani kwa ajili yetu, 2 yale yote tuliyoweza kuyakamilisha ni wewe uliyetenda kwa ajili yetu. 1