The Bible Software
bible.softwareRomansRomans 2 › Romans 2:16

Romans 2:16

Hili litatukia siku hiyo Mungu atakapozihukumu siri za wanadamu kwa njia ya Yesu Kristo, kama isemavyo Injili yangu. 1 Wayahudi Na Sheria

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

In the day when God shall judge the secrets of men by Jesus Christ according to my gospel.

In Context

15Wao wanaonyesha kwamba lile linalotakiwa na sheria limeandikwa kwenye mioyo yao, ambayo pia dhamiri zao zikiwashuhudia, nayo mawazo yao yenye kupingana yatawashtaki au kuwatetea.)

17Tazama, wewe ukiwa unaitwa Myahudi na kuitegemea sheria na kujisifia uhusiano wako na Mungu,

Read all of Romans 2

Cross References

Psalms 9:7Bwana anatawala milele, 2 ameweka kiti chake cha enzi apate kuhukumu. 1

Psalms 96:13itaimba mbele za Bwana kwa maana anakuja, 2 anakuja kuihukumu dunia. 1 Ataihukumu dunia kwa haki, 2 na mataifa katika kweli yake.

Ecclesiastes 3:17Nikafikiri moyoni mwangu, 1 “Mungu atawaleta hukumuni 2 wote wawili wenye haki na waovu, 1 kwa maana kutakuwako na wakati kwa ajili ya kila jambo, 2 wakati kwa ajili ya kila tendo.”

Ecclesiastes 12:14Kwa maana Mungu ataleta hukumuni kila kazi, 2 pamoja na kila neno la siri, 2 likiwa jema au baya.

Matthew 25:31“Mwana wa Adamu atakapokuja katika utukufu wake na malaika wote watakatifu pamoja naye, ndipo atakapoketi juu ya kiti cha enzi cha utukufu wake.

John 5:22Wala Baba hamhukumu mtu yeyote, lakini hukumu yote amempa Mwana,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Romans 2:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Romans 2:15Romans 2Romans 2:17 →