Romans 2:6
Kwa maana Mungu atamlipa kila mtu sawasawa na matendo yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Who will render to every man according to his deeds:
In Context
Cross References
Psalms 62:12na kwamba, Ee Bwana, 2 wewe ni mwenye upendo. 1 Hakika utampa kila mtu thawabu 2 kwa kadiri ya alivyotenda.
Proverbs 24:12Kama mkisema, “Lakini hatukujua lolote kuhusu hili,” 2 je, yule apimaye mioyo halitambui hili? 1 Je, yule awalindaye maisha yenu halijui hili? 2 Je, hatamlipa kila mtu kulingana na aliyotenda? 1
Isaiah 3:10Waambie wanyofu itakuwa heri kwao, 2 kwa kuwa watafurahia tunda la matendo yao. 1
Jeremiah 32:19makusudi yako ni makuu, na matendo yako ni yenye uwezo. Macho yako yanaona njia zote za wanadamu, nawe humlipa kila mmoja kulingana na mwenendo wake, na kama yanavyostahili matendo yake.
Matthew 16:27Kwa maana Mwana wa Adamu atakuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika zake, naye ndipo atakapomlipa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake.
Romans 14:22Je, wewe unayo imani? Ile imani uliyo nayo, uwe nayo nafsini mwako mbele za Mungu. Heri mtu yule asiye na sababu ya kujihukumu nafsi yake kwa ajili ya kile anachokifanya.