Romans 3:1
Basi kuna faida gani kuwa Myahudi? Au kuna thamani gani katika tohara?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
What advantage then hath the Jew? or what profit is there of circumcision?
In Context
2Kuna faida kubwa kwa kila namna! Kwanza kabisa, Wayahudi wamekabidhiwa lile Neno halisi la Mungu.
Cross References
Genesis 25:32Esau akasema, “Tazama, mimi niko karibu ya kufa, itanifaa nini haki ya mzaliwa wa kwanza?”
Ecclesiastes 6:11Maneno yanavyokuwa mengi, 2 ndivyo yanavyokosa maana, 2 Je, hilo linamfaidia vipi yeyote?
Malachi 3:14“Mmesema, ‘Ni bure kumtumikia Mungu. Tumepata faida gani kwa kushika maagizo yake na kwenda kama waombolezaji mbele za Bwana Mwenye Nguvu Zote?
1 Corinthians 15:32Kama kwa sababu za kibinadamu tu nilipigana na wanyama wakali huko Efeso, ningekuwa nimepata faida gani? Kama wafu hawafufuliwi, 1 “Tuleni na kunywa, 2 kwa kuwa kesho tutakufa.”