Romans 3:17
wala njia ya amani hawaijui.” 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the way of peace have they not known:
In Context
16maangamizi na taabu viko katika njia zao, 1
18“Hakuna hofu ya Mungu machoni pao.”
Cross References
Isaiah 57:21Mungu wangu asema, 2 “Hakuna amani kwa waovu.”
Matthew 7:14Lakini mlango ni mwembamba na njia ni finyu ielekeayo kwenye uzima, nao ni wachache tu waionao. 1 Mti Na Tunda Lake (Luka 6:43-44)
Romans 5:1Kwa hiyo, kwa kuwa tumekwisha kuhesabiwa haki kwa imani, tuna amani na Mungu kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo,