The Bible Software
bible.softwareRomansRomans 3 › Romans 3:4

Romans 3:4

La hasha! Mungu na aonekane mwenye haki, na kila mwanadamu kuwa mwongo, kama ilivyoandikwa: 1 “Ili uthibitike kuwa wa kweli unaponena, 2 na ukashinde utoapo hukumu.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

God forbid: yea, let God be true, but every man a liar; as it is written, That thou mightest be justified in thy sayings, and mightest overcome when thou art judged.

In Context

3Ingekuwaje kama wengine hawakuwa na imani? Je, kutokuamini kwao kungebatilisha uaminifu wa Mungu?

5Ikiwa uovu wetu unathibitisha haki ya Mungu waziwazi, tuseme nini basi? Je, Mungu kuileta ghadhabu yake juu yetu ni kwamba yeye si mwenye haki? (Nanena kibinadamu.)

Read all of Romans 3

Cross References

Job 36:3Ninayapata maarifa yangu kutoka mbali, 2 nami nitamhesabia haki Muumba wangu. 1

Psalms 51:4Dhidi yako, wewe peke yako, nimetenda dhambi 2 na kufanya yaliyo mabaya machoni pako, 1 ili uthibitike kuwa wa kweli unenapo, 2 na kuwa na haki utoapo hukumu. 1

Psalms 100:5Kwa maana Bwana ni mwema 2 na upendo wake wadumu milele; 2 uaminifu wake unadumu kwa vizazi vyote.

Psalms 119:160Maneno yako yote ni kweli, 2 sheria zako zote za haki ni za milele. 2 Kujiweka Wakfu Kwa Sheria Ya Bwana 1

Micah 7:20Utakuwa wa kweli kwa Yakobo, 2 nawe utamwonyesha Abrahamu rehema, 1 kama ulivyowaahidi kwa kiapo baba zetu 2 siku za kale.

Luke 20:16Atakuja na kuwaua hao wapangaji, na kuwapa wapangaji wengine hilo shamba la mizabibu.” Watu waliposikia hayo wakasema, “Mungu apishie mbali jambo hili lisitokee!”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Romans 3:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Romans 3:3Romans 3Romans 3:5 →