Warumi 5:11
Lakini zaidi ya hayo, pia tunafurahi katika Mungu kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo, ambaye kupitia kwake tumepata upatanisho. 1 Adamu Alileta Kifo, Yesu Ameleta Uzima
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 32:11Shangilieni katika Bwana na mfurahi, enyi wenye haki! 2 Imbeni, nyote mlio wanyofu wa moyo!
Psalms 104:34Kutafakari kwangu na kumpendeze yeye, 2 ninapofurahi katika Bwana. 1
Isaiah 61:10Ninafurahia sana katika Bwana, 2 nafsi yangu inashangilia katika Mungu wangu. 1 Kwa maana amenivika mavazi ya wokovu, 2 na kunipamba kwa joho la haki, 1 kama vile bwana arusi apambavyo 2 kichwa chake kama kuhani, 1 na kama bibi arusi ajipambavyo 2 kwa vito vyake vya thamani. 1
Luke 1:46Naye Maria akasema: 1 “Moyo wangu wamwadhimisha Bwana, 2
John 6:50Lakini hapa kuna mkate utokao mbinguni, ambao mtu yeyote akiula, hatakufa.
Romans 3:29Je, Mungu ni Mungu wa Wayahudi peke yao? Je, yeye si Mungu wa watu wa Mataifa pia? Naam, yeye ni Mungu wa watu wa Mataifa pia.