Romans 5:4
nayo saburi huleta uthabiti wa moyo, na uthabiti wa moyo huleta tumaini,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And patience, experience; and experience, hope:
In Context
3Si hivyo tu, bali twafurahi pia katika mateso, kwa sababu tunajua kuwa mateso huleta saburi,
Cross References
Joshua 10:24Walipokuwa wamewaleta hawa wafalme kwa Yoshua, akawaita watu wote wa Israeli, na kuwaambia majemadari wa vita waliokwenda pamoja naye, “Njooni hapa mweke nyayo zenu juu ya shingo za hawa wafalme.” Basi wakaja wakaweka nyayo zao shingoni.
Psalms 27:2Waovu watakaposogea dhidi yangu 2 ili wanile nyama yangu, 1 adui zangu na watesi wangu watakaponishambulia, 2 watajikwaa na kuanguka. 1
Psalms 71:14Lakini mimi, nitatumaini siku zote, 2 nitakusifu zaidi na zaidi. 1
Romans 15:4Kwa maana kila kitu kilichoandikwa zamani, kiliandikwa kutufundisha, ili kwamba kwa saburi na faraja tunayopata katika Maandiko tuwe na tumaini.
2 Corinthians 4:8Twataabika kila upande lakini hatuangamizwi; twaona wasiwasi lakini hatukati tamaa;
2 Timothy 4:16Katika utetezi wangu wa mara ya kwanza, hakuna hata mmoja aliyeniunga mkono, bali kila mmoja aliniacha. Namwomba Mungu wasihesabiwe hatia kwa jambo hilo.