Romans 6:21
Lakini mlipata faida gani kwa mambo hayo ambayo sasa mnayaonea aibu? Mwisho wa mambo hayo ni mauti.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Mlipokuwa watumwa wa dhambi, mlikuwa hamtawaliwi na haki.
Cross References
Deuteronomy 17:6Kwa ushuhuda wa mashahidi wawili au watatu mtu huyo atauawa, bali hakuna mtu atakayeuawa kwa ushuhuda wa shahidi mmoja tu.
2 Samuel 12:5Daudi akawakwa na hasira dhidi ya mtu huyo tajiri na kumwambia Nathani, “Hakika kama Bwana aishivyo, mtu huyo aliyefanya hivyo anastahili kufa!
Ezra 9:6Nami nikaomba: “Ee Mungu wangu, natahayari na kuona aibu kukuinulia uso wangu Mungu wangu, kwa sababu dhambi zetu zimejikusanya hata kupita juu ya vichwa vyetu na hatia yetu imefika mbinguni.
Job 42:6Kwa hiyo najidharau mwenyewe, 2 na kutubu katika mavumbi na majivu.” 1 Mwisho: Marafiki Wa Ayubu Wanafedheheshwa
Proverbs 1:31watakula matunda ya njia zao, 2 na watashibishwa matunda ya hila zao. 1
Proverbs 9:17“Maji yaliyoibiwa ni matamu; 2 chakula kinacholiwa sirini ni kitamu!” 1