Romans 7:16
Basi kama ninatenda lile nisilotaka kutenda, ni kwamba ninakubali kuwa sheria ni njema.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If then I do that which I would not, I consent unto the law that it is good.
In Context
17Lakini, kwa kweli si mimi tena nitendaye lile nisilotaka bali ni ile dhambi ikaayo ndani yangu.
Cross References
Psalms 119:127Kwa sababu nazipenda amri zako zaidi ya dhahabu, 2 naam, zaidi ya dhahabu safi, 1
Romans 7:14Kwa maana tunajua kwamba sheria ni ya kiroho, lakini mimi ni wa kimwili nikiwa nimeuzwa kwenye utumwa wa dhambi.
1 Timothy 1:8Tunajua kwamba sheria ni njema ikiwa inatumika kwa halali kama ilivyokusudiwa.