Romans 7:18
Kwa maana ninafahamu kwamba hakuna jema lolote likaalo ndani yangu, yaani, katika asili yangu ya dhambi. Kwa kuwa nina shauku ya kutenda lililo jema, lakini siwezi kulitenda.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Lakini, kwa kweli si mimi tena nitendaye lile nisilotaka bali ni ile dhambi ikaayo ndani yangu.
19Sitendi lile jema nitakalo kutenda, bali lile baya nisilolitaka, ndilo nitendalo.
Cross References
Genesis 6:5Bwana akaona jinsi uovu wa mwanadamu ulivyokuwa mkubwa duniani, na ya kuwa kila mwelekeo wa mawazo ya moyo wake wakati wote ulikuwa mbaya tu.
Job 14:4Ni nani awezaye kutoa kitu safi kutoka kitu najisi? 2 Hakuna awezaye! 1
Job 25:4Mtu awezaje kuwa mwadilifu mbele za Mungu? 2 Awezaje mtu aliyezaliwa na mwanamke kuwa safi? 1
Psalms 119:5Laiti mwenendo wangu ungekuwa imara 2 katika kuyatii maagizo yako! 1
Psalms 119:40Tazama jinsi ninavyoonea shauku mausia yako! 2 Hifadhi maisha yangu katika haki yako. 2 Kuitumainia Sheria Ya Bwana 1
Psalms 119:173Mkono wako uwe tayari kunisaidia, 2 kwa kuwa nimechagua mausia yako. 1