Romans 7:22
Kwa maana katika utu wangu wa ndani naifurahia sheria ya Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For I delight in the law of God after the inward man:
In Context
21Hivyo naiona sheria ikitenda kazi. Ninapotaka kutenda jema, jambo baya liko papo hapo.
Cross References
Leviticus 13:39kuhani atamchunguza, na kama alama hizo zina weupe uliofifia, ni vipele visivyo na madhara vilivyojitokeza kwenye ngozi; mtu huyo ni safi.
Psalms 1:2Bali huifurahia sheria ya Bwana, 2 naye huitafakari hiyo sheria usiku na mchana. 1
Psalms 40:8Ee Mungu wangu, 2 natamani kuyafanya mapenzi yako; 2 sheria yako iko ndani ya moyo wangu.” 1
Psalms 119:24Sheria zako ni furaha yangu, 2 nazo ni washauri wangu. 2 Kuamua Kuitii Sheria Ya Bwana 1
Psalms 119:47kwa kuwa ninazifurahia amri zako 2 kwa sababu ninazipenda. 1
Psalms 119:92Kama nisingefurahia sheria yako, 2 ningeangamia katika taabu zangu. 1