Romans 8:33
Ni nani atakayewashtaki wale ambao Mungu amewateua? Ni Mungu mwenyewe ndiye mwenye kuwahesabia haki.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Who shall lay any thing to the charge of God’s elect? It is God that justifieth.
In Context
Cross References
Job 2:4Shetani akamjibu Bwana, “Ngozi kwa ngozi! Mwanadamu atatoa vyote alivyo navyo kwa ajili ya uhai wake.
Job 34:8Ashirikianaye na watenda mabaya 2 na kuchangamana na watu waovu. 1
Psalms 35:11Mashahidi wakatili wanainuka, 2 wananiuliza mambo nisiyoyajua. 1
Isaiah 50:8Yeye anipatiaye haki yangu yu karibu. 1 Ni nani basi atakayeleta mashtaka dhidi yangu? 2 Tukabiliane uso kwa uso! 1 Mshtaki wangu ni nani? 2 Ni nani aliye mshtaki wangu? 1
Zechariah 3:1Kisha akanionyesha Yoshua, + 3:1 Yoshua kwa Kiebrania ni Yeshua, maana yake ni Yehova ni wokovu. kuhani mkuu, akiwa amesimama mbele ya malaika wa Bwana, naye Shetani amesimama upande wake wa kuume ili amshtaki.
Luke 18:7Je, Mungu hatawatendea haki wateule wake wanaomlilia usiku na mchana? Je, atakawia kuwasaidia?