Romans 8:36
Kama ilivyoandikwa: 1 “Kwa ajili yako tunauawa mchana kutwa; 2 tumehesabiwa kama kondoo wa kuchinjwa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
37Lakini katika mambo haya yote tunashinda, naam na zaidi ya kushinda, kwa yeye aliyetupenda.
Cross References
Psalms 44:22Hata hivyo kwa ajili yako tunauawa mchana kutwa; 2 tumehesabiwa kama kondoo wa kuchinjwa. 1
Isaiah 53:7Alionewa na kuteswa, 2 hata hivyo hakufungua kinywa chake; 1 aliongozwa kama mwana-kondoo 2 apelekwaye machinjoni, 1 kama vile kondoo anyamazavyo mbele ya wao wamkataye manyoya, 2 hivyo hakufungua kinywa chake. 1
Jeremiah 12:3Hata hivyo unanijua mimi, Ee Bwana; 2 unaniona na kuyachunguza mawazo yangu kukuhusu wewe. 1 Wakokote kama kondoo wanaokwenda kuchinjwa! 2 Watenge kwa ajili ya siku ya kuchinjwa! 1
John 16:2Watawatenga na masinagogi. Naam, saa yaja ambayo mtu yeyote atakayewaua atadhani kwa kufanya hivyo anamtumikia Mungu.
Acts 20:24Lakini siyahesabu maisha yangu kuwa ya thamani kwangu, kama kuyamaliza mashindano na kukamilisha ile kazi Bwana Yesu aliyonipa, yaani, kazi ya kuishuhudia Injili ya neema ya Mungu.
1 Corinthians 15:30Nasi kwa upande wetu kwa nini tunajihatarisha kila saa?