Ruth 2:14
Wakati wa chakula, Boazi akamwambia Ruthu, “Karibia hapa. Kula mkate na uchovye ndani ya siki.” Alipoketi pamoja na wavunaji, akampa nafaka zilizookwa. Akala kiasi alichotaka na kusaza.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 8:10Wakati mtakapokwisha kula na kushiba, msifuni Bwana Mungu wenu kwa ajili ya nchi nzuri aliyowapa.
Ruth 2:18Akaibeba na kuelekea mjini, naye mama mkwe wake akaona jinsi alivyoweza kuokota nafaka nyingi. Pia Ruthu akachukua kile alichobakiza baada ya kula na kushiba, akampa.
1 Samuel 25:18Abigaili akafanya haraka, akachukua mikate mia mbili, viriba viwili vya divai, kondoo watano waliochinjwa vipimo vitano vya bisi, vishada mia moja vya zabibu kavu, mikate mia mbili ya tini, akavipakia juu ya punda.
2 Kings 4:43Mtumishi wake akamuuliza, “Nitawezaje kuandaa hii mbele ya watu mia?” Lakini Elisha akajibu, “Wape watu ili wale. Kwa maana hivi ndivyo asemavyo Bwana: ‘Watakula na kusaza.’ ”
Psalms 23:5Waandaa meza mbele yangu 2 machoni pa adui zangu. 1 Umenipaka mafuta kichwani pangu, 2 kikombe changu kinafurika. 1
Isaiah 32:8Lakini mtu muungwana hufanya mipango ya kiungwana, 2 na kwa matendo ya kiungwana yeye hufanikiwa. 1 Wanawake Wa Yerusalemu 1