Ruth 3:1
Kisha Naomi akamwambia mkwewe, “Binti yangu, je, nisingelikutafutia pumziko ambako utatunzika vyema?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 40:14Lakini wakati mambo yatakapokuwia mazuri, unikumbuke, unifanyie wema, useme mema juu yangu kwa Farao ili niondoke huku gerezani.
Ruth 1:9Bwana na amjalie kila mmoja wenu maisha mema nyumbani kwa mume mwingine.” Kisha akawabusu, nao wakalia kwa sauti kubwa,
Jeremiah 22:15“Je, inakufanya kuwa mfalme 2 huko kuongeza idadi ya mierezi? 1 Je, baba yako hakuwa na chakula na kinywaji? 2 Alifanya yaliyo sawa na haki, 2 hivyo yeye akafanikiwa katika yote. 1
1 Timothy 5:8Kama mtu hawatunzi wale wa jamaa yake, hasa wale wa nyumbani mwake mwenyewe, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko yeye asiyeamini.