bible.software › Ruth › Ruth 3 › Ruth 3:5
Ruth 3:5
Ruthu akajibu, “Lolote usemalo nitatenda.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And she said unto her, All that thou sayest unto me I will do.
In Context
4Atakapokwenda kulala, angalia mahali atakapolala. Kisha uende ufunue miguu yake, ulale. Naye atakuambia utakalofanya.”
6Basi akashuka mpaka kwenye sakafu ya kupuria, akafanya kila kitu mama mkwe wake alichomwambia kufanya.
Read all of Ruth 3
Cross References
Ephesians 6:1Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika Bwana, kwa kuwa hili ni jema.
This Verse In Other Editions
Study Ruth 3:5