bible.software › Ruth › Ruth 3 › Ruth 3:8
Ruth 3:8
Usiku wa manane, kitu kilimshtua Boazi, akajigeuza, akagundua yupo mwanamke amelala miguuni pake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And it came to pass at midnight, that the man was afraid, and turned himself: and, behold, a woman lay at his feet.
In Context
7Wakati Boazi alipomaliza kula na kunywa, naye akawa amejawa na furaha, alikwenda kulala mwisho wa lundo la nafaka. Ruthu akanyemelea polepole, akafunua miguu yake, na akalala.
9Akauliza, “Wewe ni nani?” Akajibu, “Ni mimi Ruthu, mjakazi wako. Uitande nguo yako juu yangu, kwa sababu wewe ndiwe jamaa wa karibu wa kutukomboa.”
Read all of Ruth 3
This Verse In Other Editions
Study Ruth 3:8