The Bible Software
bible.softwareTitusTitus 2 › Titus 2:12

Titus 2:12

Nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia, ili tupate kuishi maisha ya kiasi, ya haki na ya utaua katika ulimwengu huu wa sasa,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Teaching us that, denying ungodliness and worldly lusts, we should live soberly, righteously, and godly, in this present world;

In Context

11Kwa maana neema ya Mungu ambayo inawaokoa wanadamu wote imefunuliwa.

13huku tukilitazamia tumaini lenye baraka na ufunuo wa utukufu wa Mungu wetu Mkuu, aliye Mwokozi wetu Yesu Kristo.

Read all of Titus 2

Cross References

Psalms 4:3Fahamuni hakika kwamba Bwana amewatenga 2 wale wamchao kwa ajili yake; 2 Bwana atanisikia nimwitapo. 1

Isaiah 55:6Mtafuteni Bwana maadamu anapatikana; 2 mwiteni maadamu yu karibu. 1

Ezekiel 33:14Nami kama nikimwambia mtu mwovu, ‘Hakika utakufa,’ kisha akageuka kutoka dhambi yake na kufanya lile lililo haki na sawa,

Matthew 3:8Basi zaeni matunda yastahiliyo toba.

Matthew 16:24Ndipo Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Mtu yeyote akitaka kunifuata, ni lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate.

Luke 1:6Zekaria na Elizabeti mkewe wote walikuwa watu wanyofu mbele za Mungu, wakizishika amri zote za Bwana na maagizo yote bila lawama.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Titus 2:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Titus 2:11Titus 2Titus 2:13 →