Titus 3:8
Hili ni neno la kuaminiwa. Nami nataka uyasisitize mambo haya, ili wale ambao wamemwamini Mungu wapate kuwa waangalifu kujitoa kwa ajili ya kutenda mema wakati wote. Mambo haya ni mazuri tena ya manufaa kwa kila mtu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 22:2“Je, mwanadamu aweza kuwa wa faida kwa Mungu? 2 Je, hata mtu mwenye hekima aweza kumfaidi? 1
Psalms 16:2Nilimwambia Bwana, “Wewe ndiwe Bwana wangu; 2 pasipo wewe sina jambo jema.” 1
Proverbs 21:28Shahidi wa uongo ataangamia, 2 bali maneno ya mwenye kusikia yatadumu. 1
John 5:24“Amin, amin nawaambia, yeyote anayesikia maneno yangu na kumwamini yeye aliyenituma, anao uzima wa milele, naye hatahukumiwa, bali amepita kutoka mautini, na kuingia uzimani.
Acts 12:15Wakamwambia yule mtumishi wa kike, “Umerukwa na akili.” Alipozidi kusisitiza kuwa ni kweli, wakasema, “Lazima awe ni malaika wake.”
2 Corinthians 4:13Imeandikwa, “Niliamini, kwa hiyo nimesema.” Kwa roho yule yule wa imani pia tuliamini na hivyo tunasema,