Zekaria 12:14
na koo zote zilizobaki na wake zao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
All the families that remain, every family apart, and their wives apart.
In Context
13ukoo wa nyumba ya Lawi na wake zao, ukoo wa Shimei na wake zao,
Cross References
Ezekiel 7:16Wale wote watakaopona na kutoroka watakuwa milimani, wakiomboleza kama hua wa mabondeni, kila mmoja kwa sababu ya dhambi zake.