bible.software › Zechariah › Zechariah 13 › Zechariah 13:5
Zechariah 13:5
Atasema, ‘Mimi sio nabii. Mimi ni mkulima; ardhi imekuwa kazi yangu tangu ujana wangu.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But he shall say, I am no prophet, I am an husbandman; for man taught me to keep cattle from my youth.
In Context
4“Katika siku hiyo, kila nabii ataaibika kwa maono ya unabii wake. Hatavaa vazi la kinabii la nywele ili apate kudanganya watu.
6Ikiwa mtu atamuuliza, ‘Majeraha haya yaliyo mwilini mwako ni ya nini?’ Atajibu, ‘Ni majeraha niliyoyapata katika nyumba ya rafiki zangu.’ 1 Mchungaji Apigwa, Nao Kondoo Watawanyika 1
Read all of Zechariah 13
Cross References
Acts 19:17Habari hii ikajulikana kwa Wayahudi wote na Wayunani waliokaa Efeso, hofu ikawajaa wote, nalo jina la Bwana Yesu likaheshimiwa sana.
This Verse In Other Editions
Study Zechariah 13:5