The Bible Software
bible.softwareZekariaZekaria 6 › Zekaria 6:12

Zekaria 6:12

Umwambie, hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: ‘Huyu ndiye mtu ambaye jina lake ni Tawi, naye atachipua kutoka mahali pake na kujenga Hekalu la Bwana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And speak unto him, saying, Thus speaketh the LORD of hosts, saying, Behold the man whose name is The BRANCH; and he shall grow up out of his place, and he shall build the temple of the LORD:

In Context

11Chukua fedha na dhahabu utengeneze taji, nawe uiweke kichwani mwa kuhani mkuu Yoshua, mwana wa Yehosadaki.

13Ni yeye atakayejenga Hekalu la Bwana, naye atavikwa utukufu na ataketi kumiliki katika kiti cha enzi naye atakuwa kuhani katika kiti chake cha enzi. Hapo patakuwa amani kati ya hao wawili.’

Read all of Zekaria 6

Cross References

Ezra 3:8Katika mwezi wa pili wa mwaka wa pili baada ya Waisraeli kufika kwenye nyumba ya Mungu huko Yerusalemu, Zerubabeli mwana wa Shealtieli, Yeshua mwana wa Yosadaki na ndugu zao wengine (makuhani, Walawi na wote waliorejea Yerusalemu kutoka uhamishoni) walianza kazi, wakiteua Walawi wenye umri kuanzia miaka ishirini au zaidi kusimamia ujenzi wa nyumba ya Bwana.

Psalms 80:15mche ulioupanda kwa mkono wako wa kuume, 1 mwana uliyemlea 2 kwa ajili yako mwenyewe. 1

Isaiah 11:1Chipukizi litatokea kutoka shina la Yese, 2 kutoka mizizi yake Tawi litazaa tunda. 1

Isaiah 53:2Alikua mbele yake kama mche mwororo 2 na kama mzizi katika nchi kavu. 1 Hakuwa na uzuri wala utukufu wa kutuvutia kwake, 2 hakuwa na chochote katika sura yake cha kutufanya tumtamani. 1

Jeremiah 33:15“ ‘Katika siku hizo na wakati huo 2 nitalifanya Tawi la haki lichipuke kutoka ukoo wa Daudi, 1 naye atafanya lile lililo haki na sawa 2 katika nchi. 1

Micah 5:5Naye atakuwa amani yao. 1 Ukombozi Na Uharibifu 1 Wakati Mwashuru atakapovamia nchi yetu 2 na kupita katika ngome zetu, 1 tutawainua wachungaji saba dhidi yake, 2 hata viongozi wanane wa watu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zekaria 6:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zekaria 6:11Zekaria 6Zekaria 6:13 →