Zechariah 6:2
Gari la kwanza lilivutwa na farasi wekundu, la pili lilivutwa na farasi weusi,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In the first chariot were red horses; and in the second chariot black horses;
In Context
Cross References
Zechariah 6:6Gari linalovutwa na farasi weusi linaelekea katika nchi ya kaskazini, la farasi weupe linaelekea magharibi na la farasi wa madoadoa ya kijivu linaelekea kusini.”
Revelation 12:3Kisha ishara nyingine ikaonekana mbinguni: Likaonekana joka kubwa jekundu lenye vichwa saba na pembe kumi na taji saba katika vichwa vyake.