The Bible Software
bible.softwareZekariaZekaria 7 › Zekaria 7:6

Zekaria 7:6

Na mlipokuwa mkila na kunywa, je, hamkuwa mnasherehekea kwa ajili ya nafsi zenu?

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And when ye did eat, and when ye did drink, did not ye eat for yourselves, and drink for yourselves?

In Context

5“Waulize watu wote wa nchi na makuhani, ‘Je, mlipofunga na kuomboleza katika mwezi wa tano na wa saba kwa miaka sabini iliyopita, mlifunga kweli kwa ajili yangu?

7Je, haya sio maneno ya Bwana aliyosema kupitia manabii waliotangulia, wakati Yerusalemu pamoja na miji inayoizunguka ilipokuwa katika hali ya utulivu na ya mafanikio, wakati Negebu na Shefala zikiwa zimekaliwa na watu?’ ”

Read all of Zekaria 7

Cross References

Deuteronomy 12:7Hapo, katika uwepo wa Bwana Mungu wenu, ninyi pamoja na jamaa zenu, mtakula na kufurahia kila kitu ambacho mmegusa kwa mikono yenu, kwa sababu Bwana Mungu wenu amewabariki.

1 Samuel 16:7Lakini Bwana akamwambia Samweli, “Usitazame sura yake wala kimo chake, kwa kuwa nimemkataa. Bwana hatazami katika vile vitu mwanadamu avitazamavyo. Mwanadamu hutazama katika sura ya nje, lakini Bwana hutazama moyoni.”

Jeremiah 17:9Moyo ni mdanganyifu kuliko vitu vyote, 2 ni mwovu kupita kiasi. 2 Ni nani awezaye kuujua? 1

Hosea 9:4Hawatammiminia Bwana sadaka ya divai 2 wala dhabihu zao hazitampendeza. 1 Dhabihu kama hizo zitakuwa kwao 2 kama mkate wa waombolezaji; 2 nao wote wazilao watakuwa najisi. 1 Chakula hiki kitakuwa kwa ajili yao wenyewe; 2 kisije katika Hekalu la Bwana. 1

1 Corinthians 11:20Mkutanikapo pamoja si chakula cha Bwana mnachokula,

Colossians 3:17Lolote mfanyalo, ikiwa ni kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba katika yeye. 1 Kanuni Katika Madaraka Ya Nyumbani

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zekaria 7:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zekaria 7:5Zekaria 7Zekaria 7:7 →