Zechariah 8:21
na wenyeji wa mji mmoja watakwenda kwenye mji mwingine na kusema, ‘Twende mara moja na tukamsihi Bwana, na kumtafuta Bwana Mwenye Nguvu Zote. Mimi mwenyewe ninakwenda.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: “Mataifa mengi na wakazi wa miji mingi watakuja,
Cross References
Psalms 103:22Mhimidini Bwana, kazi zake zote 2 kila mahali katika milki yake. 1 Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana.
Psalms 146:1Msifuni Bwana! + 146:1 Msifuni Bwana kwa Kiebrania ni Hallelu Yah. 1 Ee nafsi yangu, umsifu Bwana, 2
Jeremiah 31:6Itakuja siku wakati walinzi watakapowapigia kelele 2 juu ya vilima vya Efraimu wakisema, 1 ‘Njooni, twendeni juu Sayuni, 2 kwake Bwana Mungu wetu.’ ”
Zechariah 7:2Watu wa Betheli walikuwa wamemtuma Shareza na Regem-Meleki pamoja na watu wao, kumsihi Bwana