The Bible Software
bible.software › Sefania › Sefania 1 › Sefania 1:8

Sefania 1:8

Katika siku ya dhabihu ya Bwana 2 nitawaadhibu wakuu 2 na wana wa mfalme 1 na wale wote wanaovaa 2 nguo za kigeni. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And it shall come to pass in the day of the LORD’S sacrifice, that I will punish the princes, and the king’s children, and all such as are clothed with strange apparel.

In Context

7Nyamazeni mbele za Bwana Mwenyezi, 2 kwa maana siku ya Bwana iko karibu. 1 Bwana ameandaa dhabihu, 2 amewaweka wakfu wale aliowaalika. 1

9Katika siku hiyo nitaadhibu wote ambao 2 hukwepa kukanyaga kizingiti, 1 ambao hujaza hekalu la miungu yao 2 kwa dhuluma na udanganyifu.” 1

Read all of Sefania 1

Cross References

2 Kings 10:22Naye Yehu akamwambia yule aliyekuwa mtunza chumba cha mavazi, “Leta majoho kwa ajili ya watumishi wote wa Baali.” Basi akawaletea majoho.

2 Kings 24:12Yehoyakini mfalme wa Yuda, mama yake, wahudumu wake, wakuu na maafisa wake wote wakajisalimisha kwa Nebukadneza. Katika mwaka wa nane wa utawala wa mfalme wa Babeli, akamchukua Yehoyakini kuwa mfungwa.

2 Kings 25:19Miongoni mwa wale watu waliokuwa wamesalia katika mji, alimchukua afisa kiongozi wa wapiganaji, na washauri watano wa mfalme. Akamchukua pia mwandishi aliyesimamia uandikishaji wa watu wa nchi, pamoja na watu wake sitini waliopatikana ndani ya mji.

Isaiah 10:12Bwana atakapokuwa amemaliza kazi yake yote dhidi ya Mlima Sayuni na Yerusalemu, atasema, “Nitamwadhibu mfalme wa Ashuru kwa ajili ya majivuno ya ukaidi wa moyo wake na kutazama kwa macho yenye dharau.”

Isaiah 39:7Nao baadhi ya wazao wako, nyama yako na damu yako mwenyewe watakaozaliwa kwako, watachukuliwa mbali, nao watakuwa matowashi katika jumba la mfalme wa Babeli.”

Jeremiah 22:24“Hakika kama niishivyo,” asema Bwana, “hata kama wewe, Yekonia + 22:24 Yekonia au Konia ni jina jingine la Yehoyakini. mwana wa Yehoyakimu mfalme wa Yuda, ungekuwa pete yangu ya muhuri katika mkono wangu wa kuume, bado ningekungʼoa hapo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Sefania 1:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Sefania 1:7Sefania 1Sefania 1:9 →