Sefania 2:3
Mtafuteni Bwana, enyi nyote wanyenyekevu wa nchi, 2 ninyi ambao hufanya lile analoamuru. 1 Tafuteni haki, tafuteni unyenyekevu; 2 labda mtahifadhiwa 2 siku ya hasira ya Bwana. 1 Dhidi Ya Ufilisti 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 7:15Viumbe vyote vyenye pumzi ya uhai ndani yake vikaja kwa Noa viwili viwili, vikaingia katika safina.
2 Samuel 12:22Akajibu, “Wakati mtoto alipokuwa bado yungali hai, nilifunga na kulia. Nilifikiri, ‘Nani ajuaye? Bwana aweza kunirehemu ili kumwacha mtoto aishi.’
Psalms 22:26Maskini watakula na kushiba, 2 wale wamtafutao Bwana watamsifu: 2 mioyo yenu na iishi milele! 1
Psalms 31:20Unawahifadhi katika uvuli wa uwepo wako 2 kutokana na hila za wanadamu; 1 katika makao yako huwaweka salama 2 kutokana na ndimi za mashtaka. 1
Psalms 57:1Unihurumie, Ee Mungu, unihurumie, 2 kwa maana nafsi yangu inakukimbilia. 1 Chini ya uvuli wa mbawa zako nitakimbilia 2 mpaka maafa yapite. 1
Psalms 91:1Yeye akaaye mahali pa salama pake Yeye Aliye Juu Sana, 2 atadumu katika uvuli wake Mwenyezi. + 91:1 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. 1