1 Nyakati 1:11
Misraimu akawazaa: 2 Waludi, Waanami, Walehabi, Wanaftuhi,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Mizraim begat Ludim, and Anamim, and Lehabim, and Napthtuhim,
In Context
10Kushi akamzaa 2 Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa katika nchi. 1
12Wapathrusi, Wakasluhi (hao ndio asili ya Wafilisti) na Wakaftori. 1
Cross References
Genesis 10:13Misraimu alikuwa baba wa: 2 Waludi, Waanami, Walehabi, Wanaftuhi,