Genesis 10:13
Misraimu alikuwa baba wa: 2 Waludi, Waanami, Walehabi, Wanaftuhi,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Mizraim begat Ludim, and Anamim, and Lehabim, and Naphtuhim,
In Context
12na Reseni, iliyo kati ya Ninawi na Kala; huo ndio mji mkubwa. 1
14Wapathrusi, Wakasluhi (hao ndio asili ya Wafilisti), na Wakaftori. 1
Cross References
Jeremiah 46:9Songeni mbele, enyi farasi! 2 Endesheni kwa ukali, enyi magari ya farasi, 1 Endeleeni mbele, enyi mashujaa: 2 watu wa Kushi + 46:9 Kushi ni Naili ya Juu; sasa ni Sudan. na Putu + 46:9 Putu sasa ni Libya. wachukuao ngao, 2 watu wa Ludi + 46:9 Nchi iliyo Afrika ya Kaskazini, magharibi ya Mto Naili; sasa ni Libya. wavutao upinde. 1