1 Nyakati 1:19
Eberi alipata wana wawili: 2 Mmoja wao aliitwa Pelegi, + 1:19 Pelegi maana yake Mgawanyiko. kwa kuwa wakati wake dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Arfaksadi akamzaa Shela, 2 Shela akamzaa Eberi. 1
20Wana wa Yoktani walikuwa: 2 Almodadi, Shelefu, Hasarmawethi, Yera,
Cross References
Genesis 10:25Eberi akapata wana wawili: 2 Mmoja wao aliitwa Pelegi, kwa kuwa wakati wake ndipo dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani. 1
Numbers 24:24Meli zitakuja kutoka pwani za Kitimu, 1 zitaitiisha Ashuru na Eberi, 2 lakini nao pia wataangamizwa.”