Genesis 10:25
Eberi akapata wana wawili: 2 Mmoja wao aliitwa Pelegi, kwa kuwa wakati wake ndipo dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
24Arfaksadi alikuwa baba wa Shela, 2 naye Shela akamzaa Eberi. 1
26Yoktani alikuwa baba wa: 2 Almodadi, Shelefu, Hasarmawethi, Yera,
Cross References
Genesis 10:21Shemu ambaye ni ndugu mkubwa wa Yafethi, kwake kulizaliwa wana pia. Shemu alikuwa baba wa wana wote wa Eberi. 1
Genesis 11:16Eberi alipokuwa na miaka thelathini na minne, akamzaa Pelegi.
1 Chronicles 1:19Eberi alipata wana wawili: 2 Mmoja wao aliitwa Pelegi, + 1:19 Pelegi maana yake Mgawanyiko. kwa kuwa wakati wake dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani. 1
Luke 3:35Nahori alikuwa mwana wa Serugi, 1 Serugi alikuwa mwana wa Reu, 1 Reu alikuwa mwana wa Pelegi, 1 Pelegi alikuwa mwana wa Eberi, 1 Eberi alikuwa mwana wa Sala, 1