1 Nyakati 1:27
Tera akamzaa Abramu (yaani, Abrahamu). 1 Jamaa Ya Abrahamu 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28Abrahamu alikuwa na wana wawili: 2 Isaki na Ishmaeli. 2 Wazao Wa Hagari (Mwanzo 25:12-16) 1
Cross References
Genesis 11:27Hawa ndio wazao wa Tera. Tera aliwazaa Abramu, Nahori na Harani. Harani akamzaa Loti.
Joshua 24:2Yoshua akawaambia watu wote, “Hili ndilo Bwana, Mungu wa Israeli, asemalo: ‘Hapo zamani baba zenu, pamoja na Tera baba yake Abrahamu na Nahori, waliishi ngʼambo ya Mto nao waliiabudu miungu mingine.