Genesis 11:27
Hawa ndio wazao wa Tera. Tera aliwazaa Abramu, Nahori na Harani. Harani akamzaa Loti.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now these are the generations of Terah: Terah begat Abram, Nahor, and Haran; and Haran begat Lot.
In Context
26Tera alipokuwa na miaka sabini, akamzaa Abramu, Nahori na Harani. 1 Wazao Wa Tera
28Tera alipokuwa bado hai, Harani akafa huko Uru ya Wakaldayo, nchi alimozaliwa.
Cross References
Genesis 11:31Tera akamchukua Abramu mwanawe, Loti mwana wa Harani mwanawe, na Sarai mkwewe, mke wa Abramu mwanawe, wakatoka kwa pamoja katika Uru ya Wakaldayo kwenda nchi ya Kanaani. Lakini walipofika Harani, wakaishi huko.
Genesis 12:5Abramu akamchukua Sarai mkewe pamoja na Loti mwana wa ndugu yake, mali zote walizokuwa nazo pamoja na watu aliokuwa amewapata huko Harani, wakasafiri mpaka nchi ya Kanaani, wakafika huko.
Genesis 14:12Pia walimteka Loti mwana wa ndugu yake Abramu pamoja na mali zake, kwa kuwa alikuwa akiishi Sodoma.
Genesis 22:20Baada ya muda, Abrahamu akaambiwa, “Milka pia amepata watoto, amemzalia ndugu yako Nahori wana:
1 Chronicles 1:27Tera akamzaa Abramu (yaani, Abrahamu). 1 Jamaa Ya Abrahamu 1