1 Chronicles 1:3
Enoki, Methusela, Lameki, Noa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Wana wa Noa walikuwa: 2 Shemu, Hamu na Yafethi. 2 Wana Wa Yafethi 1
Cross References
Genesis 5:21Enoki alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Methusela.
Hebrews 11:5Kwa imani Enoki alitwaliwa kutoka maisha haya, kiasi kwamba hakuonja mauti. Hakuonekana, kwa sababu Mungu alikuwa amemchukua. Kwa kuwa kabla hajatwaliwa alikuwa ameshuhudiwa kuwa ni mtu aliyempendeza Mungu.