1 Nyakati 1:4
Wana wa Noa walikuwa: 2 Shemu, Hamu na Yafethi. 2 Wana Wa Yafethi 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Enoki, Methusela, Lameki, Noa. 1
5Wana wa Yafethi walikuwa: 2 Gomeri, Magogu, Madai, Yavani, Tubali, Mesheki na Tirasi. 1
Cross References
Genesis 5:32Baada ya Noa kuishi miaka 500, aliwazaa Shemu, Hamu na Yafethi.
Genesis 7:1Ndipo Bwana akamwambia Noa, “Ingia katika safina wewe na jamaa yako yote, kwa sababu katika kizazi hiki nimeona ya kuwa wewe ni mwenye haki.
Genesis 9:29Noa alikuwa na jumla ya miaka 950, ndipo akafa.
Isaiah 54:9“Kwangu mimi jambo hili ni kama siku za Noa, 2 nilipoapa kuwa maji ya Noa kamwe hayatafunika tena dunia. 1 Hivyo sasa nimeapa sitawakasirikia ninyi, 2 kamwe sitawakemea tena. 1
Matthew 24:37Kama ilivyokuwa wakati wa Noa, ndivyo itakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.
Luke 17:26“Kama ilivyokuwa siku za Noa, ndivyo itakavyokuwa katika siku za Mwana wa Adamu.